Meneja
wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoani Ruvuma, Mhandisi Abraham
Kissimbo akizungumza na timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka
Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake.
Meneja
wa wakala wa barabara (TANROADS) mkoani Ruvuma, Mhandisi Abraham
Kissimbo akitoa maelekezo kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo
kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilipofika ofisini kwake.
DSC07428
Kiongozi
wa Timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya
Mipango, Bibi Florence Mwanri (mwenye koti jekundu) pamoja na timu yake
wakijinea Daraja la Luhekei C lenye urefu wa mita 60.
Timu
ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
ikijionea maendeleo ya moja ya madaraja matatu ya Luhekei
yanayounganisha wilaya za Mbinga na Nyasa mkoani Ruvuma.
Timu
ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango
ikiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wao Mhandisi Lusage Mulenzi
katika kibao cha ufunguzi rasmi wa Darala la Luhekei C. Daraja hili lina
urefu wa mita 60, lilifunguliwa rasmi tarehe 18 Julai, 2014 na
Mheshimiwa Rais, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
PICHA ZOTE NA SAIDI MKABAKULI
No comments:
Post a Comment