Muuguzi wa Zamu
katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Mary Jadi, akimuelezea Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif msongamano wa watoto wanaoungua moto
ambao hulazimika kulazwa wagonjwa watatu kwa kitand kimoja.
Balozi Seif
akimpa pole Wanu Rajab aliyelazwa Hospital Kuu ya Mnazi mmoja yeye na
Mtoto wake baada ya kibanda wanachoishi katika shughuli za Kilimo kuwaka moto
katika Kijiji cha Kirombero.
Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto Nasrya Kombo
aliyelazwa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua moto.Wapili kulia ni Muuguzi wa zamu katika Hopitali kuu ya
Mnazi Mmoja wodi ya WatotoMary Jadi.
No comments:
Post a Comment