Afisa
wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za
Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akitoa maeklezo kwa
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamunyange (kulia)
wakati alipotembelea banda la SUMATRA katika maonesho ya kuazimisha
miaka 40 tangu kuanzishwa kwa chupo cha Usafirishaji Tanzania (NIT)
kwenye viwanja vya chuo hicho jana. Kushoto ni Afisa wa Baraza hilo la
Sumatra, Doatha Kabyemela.
Naibu
Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Monica Mwamunyange (kulia) akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Usafirishaji (NIT) Mhandisi Priscilla
Chilipweli baada ya kupokea maelezo ya kina na yanayoeleweka ipasavyo
kuhusu shughuli za baraza hilo kutoka kwa Afisa wa Elimu kwa Wateja
kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na
Majini, Nicholous Kinyariri.
Maafisa wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, wakitoa elimu kwa wananchi.
Wananchi wakipata elimu katika baraza hilo.
Maafisa wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, wakitoa elimu kwa wananchi.
Afisa
wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za
Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akielezea takwimu za
utafiti uliofanywa na baraza.
Afisa
wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za
Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri akitoa elimu kwa
vijana.
No comments:
Post a Comment