Burudan Mwanzo - Mwisho

Friday, October 2, 2015

KAMPUNI YA MEGATRADE INVESTMENT LIMITED YAPOKEA CHETI CHA UBORA WA BIDHAA ZAKE KUTOKA TBS

Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akipokea cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS  Bw. Joseph Masikitiko wakati wa utoaji wa vyeti hivyo uliofanyika katika ofisi za TBS Dar es salaam



Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa na Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu.
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiondoka baada ya kuchukuwa cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa

mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS  Bw. Joseph Masikitiko


 Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kulia akiwa na
Msimamizi mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Albert Kingu wakifurahia cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo mara baada ya kukabidhiwa
Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde akitoa neno la shukrani baada ya afla fupi ya kupokea vyeti vya ubora kwa makampuni mbalimbali
Super D (Mnyamwezi) at 7:12 PM

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.