Mabondia Abdalla Pazi 'Dulac Mbabe' kushoto akitambiana na Mada Maugo baada ya kumaliza kupima uzito kwaajili ya mpambano wao wa ubingwa wa UB.O Afrika utakaofanyika jumapili ya pasaka march 27 kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Mabondia Abdalla Pazi 'Dulac Mbabe' kushoto akitambiana na Mada Maugo baada ya kumaliza kupima uzito kwaajili ya mpambano wao wa ubingwa wa UB.O Afrika utakaofanyika jumapili ya pasaka march 27 kesho katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa Taifa katikat ni promota Kaike Siraju Picha na SUPER D BOXING NEWS |
abdalla pazzi na mada maugo |
ROJAS MASAM AKIPIMWA AFYA |
Rojas Massam kushoto akitunishiana misuli na Mwinyi
aMzengela baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa march 27
uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Rojas Massam kushoto akitunishiana misuli na Mwinyi aMzengela baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa march 27 uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS |
SEBA TEMA KUSHOTO NA PIUS KAZAULA |
Mabondia Seba Temba kushoto akitunishiana mkisuli na Pius Kazaula baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpasmbano wao kesho march 27 uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila'Super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wote wanaicheza siku ya
jumapili ya pasaka March 27 uwanja wa ndani wa Taifa Dar es salaam
wamepima uzito wao kwa ajili ya mpambano uho
akizungumzia mpambano uho mratibu wa
pambano hilo Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa mabondia wote wapo
tayali kwa kuwa wapo na afya tele na wameshapia uzito pamoja na afya zao kwa ajili ya mpambano uho
ambapo mabondia mahasimu kg 54.9 Fransic
Miyeyusho na Nassibu Ramadhani wanakutana kwa mara nyingine kwa ajili ya
mpambano wao mwingine baada ya ule wa mwanzo Miyeyusho kuibuka Mbabe
mpambano mwingine mkali utakuwa ni
kati ya bondia Mada Maugo kg 79 na Abdallah Pazi ambao wametafutana kwa mda
mrefu na sasa wamaliza ubishi siku ya jumapili hii ya march 27 katika uwanja wa ndani wa taifa
Super D aliongeza kwa kusema mabondia
wote wamepima uzito pamoja na kuangaliwa afya zao katika ukumbi wa Mango Garden
Kinondoni na mpambano utafanyika jumapili ya Pasaka March 27 uwanja wa ndani wa
Taifa
'Super D' aliongeza kwa kusema kuwa
mipambano hiyo inayosubiliwa kwa hamu na mashabiki lukuki
kutakuwa na
mipambano ya kukata na shoka mingine bondia
Katika mpambano
uho kutakuwa na uhuzwaji wa vifaa vya mchezo wa ngumi pamoja na DVD za
mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa ajili ya kutambua sheria mbalimbali za
mchezo zitakazokuwa zikitolewa bule kwa mabondia watakaofanya vizuri
siku hiyo na vingine kuuzwa kwa galama nafuu
No comments:
Post a Comment