Na Mwandishi Wetu
BONDIA Vicent Mbilinyi ameingia kambini rasmi kwa ajili ya mazoezi yake ya mpambano ujao atakapo zipiga na
Bondia Msafiri Haule katika mpambano wa raundi sita utakaofanyika juni 4 mwaka uhu katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa
Mbilinyi aliye chini ya kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amejizatiti kushinda mpambano wake uho kwa kuwa amefanya mazoezi kwa mda mrefu na ajapigana katika jiji la Dar es salaam kwa mda hivyo mashabiki wake wakae mkaa wa kufuraia siku hiyo
aliongeza kwa kusema kuwa Mashabiki
wake wategemee ushindi wa K.O mbaya sana aliongeza kwa kusema kuwa kama
mashabiki watakumbuka mpambano wangu wa mwisho nilivyo msambalatisha Deo
Njiku kwa K,O hivyo mwendeezo wangu utakuwa hivyo hivyo kwa huyo bondia
nae kocha wa kimataifa Rajabu Mhamila
'Super D' anaemnowa Mbilinyi amesema kuwa bondia huyo yupo fiti ata kama
mpambano utapigwa leo kwa kuwa amefanya mazoezi ya muda mrefu na
yakutosha akiwa chini ya kocha huyo ambaye jukumu lake alishii tu kwa
ukocha pamoja na kumtangaza nje na ndani ya nchi na kumtafutia mapambano
mbali mbali ambayo yanamwezesha kuendeleza kipaji chake hicho
mbali na mpambano uho siku hiyo
kutakuwa na mapambano ya mabondia wa uzito wa juu nchini siku hiyo
itajulikana kama 'Usiku wa Mahavy Weight' ambapo bondia Ashiraf
Selemani kutoka Zanzibar atapanda uringoni kuzichapa na Mthailand wakati
bondia mwingine Amour Mzungu kutoka Zanziba atazipiga na Japhert Kaseba
na mapambano mengine mbalimbali yatakayosindikiza usiku huo wa mabondia wa uzito wa juu nchini
No comments:
Post a Comment