Thursday, September 22, 2016

MABONDIA KUZIPIGA OCTOBER 2 KIMARA KOROGWE NA KUPEWA ELIMU YA UJASILIAMALI

Na Mwandishi Wetu

ZAIDI ya Mabondia alobaini kupata elimu ya ujasiliamali katika mpaqmbano wa october 2 utakaofanyika katika ukumbi wa White House Bar uliopo Kimara Korogwe mbali na semina hiyo ya ujasiliamali na uwekezaji katika mchezo wa masumbwi pia wanamichezo hawo wata oneshana umwamba siku hiyo baada ya kupewa semina ya masaa mawili yanayo husu ujasiliamali

Akizungumza na wahandishi wa habari mratibu wa mpambano uho Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mpambano uho utakuwa zaidi ya mchezo mana kutakuwa na elimu mbalimbali zitakazo tolewa kwa vijana mbalimbali na watu watakao hudhulia siku hiyo

Elimu hiyo kwanza itatolewa October Mosi katika ukumbi huo huo utkao husisha makocha mabondia pamoja na wasaidizi wao mbalimbali watakaokuja siku moja kupima uzito na afya kabla ya mpambano wao sdiku inayo fuata mana vijana watafundishwa elimu ambayo itaweza kuwakwamua kimaisha pindi watakapo staafu mchezo wa ngumi

aliongeza kwa kusema mapambanop yatakayopigwa siku hiyo ni kati ya Abdallah Luwanje atakaezipiga na Shedrack Ignas uzito wa kg 63 raundi sita na haidar Mchanjo atazidunda na Said Chino katika uzito wa kg 57 raundi sitawakati bondia Mustafa Doto ataoneshana umwamba na Manyi Issa katika mpambano wa KG 61 raundi sita 

Wakati

Rojas Masamu

ataoneshana undava na Hashimu Chisora katika uzito wa kg 61 raundi nne na Mohamed Muhunzi atapambana na Kassim Ahamad katika uzito wa KG 56 raundi nne na mapambano mengine mengi yatakayokuwepo siku hiyo

Ambaya mgeni rasmi atakuwa 
Humphrey Polepole Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
 
Katika Mchezo huo kutakua na Uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. 

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

No comments:

Post a Comment