Monday, September 18, 2017

BONDIA MTANZANIA OMARI KIMWERI ANAEISHI AUSTRALIA ATUA BONGO NA KUMUOWA LAWARIDI KIMWERI SHEREHE ILIFANYIKA VIJANA KINONDONI

 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia katikati akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri kushoto ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wakati wa sherehe ya ndoa yao iliyofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
  
 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS




WAGENI WAALIKWA WAKISELEBUKA

 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kushoto akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakichukuwa chakula wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa na msanii wa kundi la Segere Siza Mazongela wakati wa Sherehe ya bondia Omari Kimweri

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi ncini akiwa na bondia Omari Kimweri wakati wa Sherehe ya bondia huyoi

BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia kulia akiwa na mkewe Lawaridi Kimweri wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Vijana Kinondoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia 
Na Mwandishi  Wetu

 BONDIA Mtanzania Omari Kimweri 'Lion Boy 'anaefanya shughuli zake nchini Australia ameamua kuachana na ukapela na kuambua kuowa bondia huyo anaeishi Australia amefanya sherehe mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kumuowa Lawaridi Kimweri Jijini Dar es salaam na Sherehe ya Ndoa yao imefanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondondi jijini Dar 

akizungumza wakati wa shughuli hiyo Kimweri amesema ameamua kuoa ili kujenga familia yake mwenyewe kwa maisha yake unajua watanzania wengi wakienda ulaya awakumbuki nyumbani kwa kuwa awajaacha chochote na awajui lilote na kuanzisha mahusiano na wanzungu wakiwa nje ya nchi 

hivyo damu yaker kupotea mimi nimeamua kuowa nyumbani kwa kuwa kwanza mimi nimezaliwa Tanzania na kule nina fanya kazi zangu tu hivyo nimerudi nyumbani kuoa ili niendeshe familia yangu kule ulaya ukiwa na mtoto na mzungu asilimia kubwa mtoto sio wako ni wa mwanamke ata hivyo inajulikana kabisa damu za wenzetu wazungu ni kali sana

hivyo ata mkizaa mtoto atakuwa wa kizungu na wewe rangi yako itaendelea kuwa nyeusi

Kimweri aliongeza kwa kusema kaja nchini na ujumbe wa watu wanne aliokuja nao kwa ajili ya arusi yake pamoja na kufanya utalii katika vivutio mbalimbali ambapo watatembelea mbunga za wanyama ya serengeti mikumi pamoja na kwenda Zanzibar kuona vivutio vyake

Bondia Kimweri kwa sasa ambae amejikita katika kufanikisha Tanzania inakuwa juu katika mchezo wa masumbwi kupitia wafadhili wake pamoja na kazi anazozifanya akiwa uko ngambo amewedha kuleta vifaa mbalimbali vya mchezo wa masumbwi

vikiwemo bukta glove flana pad na vitu mbalimbali vinavyo usu mchezo uho aidha amewai kushilikiana na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' 

kuwatafutia mapambano mbalimbali ya mchezo uko nje pamoja na kuwandalia mapambano ya ndani ya nchi

No comments:

Post a Comment