Monday, October 2, 2017

SUPER D AMWAGIA VIFAA KOCHA HABIBU KINYOGOLI VILIVYOTUMWA NA BONDIA KIMWERI Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS


 

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimpatia zawadi ya vifaa vya mchezo wa ndondi kocha mkongwe wa mchezo uho Habibu Kinyogoli 'Masta' vifaa vilivyotolewa na bondia Omari Kimweri anaefanya shughuli zake nchini Austalia Kimweri amekuwa akisaidia sana mchezo wa masumbwi nchini kadri awezavyo Picha na SUPER D BOXING NEWS















vijana wa kambi ya ngumi ilala

No comments:

Post a Comment