Friday, October 19, 2018

ISSA NAMPEPECHE NA HASHIMU CHISOLA WAPIMA UZITO KUZIPIGA OCTOBAR 20 CCM MWIJUMA MWANANYAMALA


Na Mwandishi wetu


BONDIA Issa Nampepeche na Hashimu Chisola wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa raundi kumi utakaofanyika jumamosi ya Octobar 20 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala akizungumza wakati wa upimaji  mratibu Ibrahimu Kamwe 'BigRaght' 

amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya kukata na shoka kwani wamejipanga kuinua mchezo wa masumbwi katika kitongoji cha mwananyamala na viunga vyake

mbali na pambano hili siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine ya kukata na shoka kati ya Shabani Madilu atakaezipiga na Selemani Bangaiza na bondia machachari anaekuja kwa kasi ya ali ya juu Hamisi Maya atazipiga na Zumba Kukwe kutoka Kibaha Mkoa wa Pwani  mpambano mwingine utawakutanisha Mbena Rajabu atakae oneshana umwamba na Fredy Masinde na Josephe Mbowe atazikunja na Mwinyi Mzengela 


aliongeza kwa kusema BigRight Sports and Arts Promotion imejizatiti kuinua vipaji vya mabondia chipkizi na kuwaendeleza wale walio katika chati ya juu kwa kuwandalia mapambano mbalimbali yakiwemo ya ubingwa wa taifa na yale ya ubingwa wa kimataifa

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika

mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd


Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani zilizo taharishwa na kocha maili wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye anajishughulisha na uzaji wa vifaa mbalimbali vya ngumi nchini kama vile Glove gumshirt clip bandeji bukta protecter na vifaa vingine

Saturday, October 13, 2018

NGUMI KUPIGWA OCTOBAR 20 CCM MWIJUMA MWANANYAMALA

NGUMI KUPIGWA OCTOBAR 20 CCM MWIJUMA MWANANYAMALA

Na Mwandishi Wetu
MABONDIA mbalimbali kutwangana Octoba 20 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala wakiongwazwa na mpambano wa Issa Nampepeche atakaezipiga na Hashimu Chisora mpambano wa ubingwa raundi kumi 

akizungumzia mpambano uho mratibu Ibrahimu Kamwe 'BigRaght' amesema kuwa siku hiyo ni kwa ajili ya burudani ya mchezo wa masumbwi kwani kutakuwa na mapambano mbalimbali ya kuvutia na mabondia wanaotamba katika vitongoji mbalimbali hivyo kama mpenzi wa mchezo wa masumbwi hii si yakukosa

kwani mbali na pambano hilo kuu kutakuwa na mpambano mwingine wa kukata na shoka kati ya Shabani Madilu atakaezipiga na Selemani Bangaiza na bondia machachari anaekuja kwa kasi ya ali ya juu Hamisi Maya atazipiga na Zumba Kukwe kutoka Kibaha Mkoa wa Pwani  mpambano mwingine utawakutanisha Mbena Rajabu atakae oneshana umwamba na Fredy Masinde na Josephe Mbowe atazikunja na Mwinyi Mzengela siku hiyo mbali na mapambano hayo kutakuwa na mapambano mengine mbalimbali siku hiyo

aliongeza kwa kusema BigRight Sports and Arts Promotion imejizatiti kuinua vipaji vya mabondia chipkizi na kuwaendeleza wale walio katika chati ya juu kwa kuwandalia mapambano mbalimbali yakiwemo ya ubingwa wa taifa na yale ya ubingwa wa kimataifa

siku hiyo pia kutakuwa zikiuzwa DVD mpya za masumbwi ambazo zinaonesha mafunzo mbalimbali ya mchezo wa ngumi yanavyoanza hatua kwa hatua

mpaka kujua kitu kamili katika

mchezo huo pia kunakuwa na mapambano ya mabondia mabigwa wa dunia wa mchezo huo kama Floyd


Maywether, Manny Paquaio,mike Tyson, Mohamed Alli pamoja na mabambano ya ngumi ya ndani zilizo taharishwa na kocha maili wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye anajishughulisha na uzaji wa vifaa mbalimbali vya ngumi nchini kama vile Glove gumshirt clip bandeji bukta protecter na vifaa vingine

Saturday, October 6, 2018

MABONDIA KUTOKA KWA SUPER D COACH WACHANGIA DAMU KUOKOA MAISHA


Bondia Iddi Mkwela akietoa Damu wakatiwa kampeni ya uchangiaji wa Damu Salama kwa ajili ya kuokowa Maisha  iliyofanyika katika makutano ya mtaa wa Likoma na Agrey Dare Es Salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mdungaji wa sindano kwa ajili ya utoaji wa Damu Rosemary Bulemo kutoka kitengo cha Damu Salama Kanda ya Mashariki akimchoma sindano Bondia Idd Mkwela kwa ajili ya kuchangia Damu uliofanyika katika makutano ya mtaa wa Likoma na Agrey Dar es salaam Picha na  SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wa pili kulia akiwa na Bondia Iddi Mkwela mwenye kibagarashia wakiwa na wadau mbalimbali waliojitokeza kutoa Damu ambao wapo katika kikundi cha Upendo Group kilichopo Kariakoo Dar es salaam  Picha na  SUPER D BOXING NEWS


Na Mwandishi Wetu

BAADHI YA MABONDIA wamechangia Damu kwa ajili ya kuokowa maisha mabondia hawo wanaotoka katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM wamejitolea kuchangia Damu kwa jamii kwa kuokoa maisha ya watanzania akizungumza wakati wa uchangiaji huo kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'

Amesema kuwa wameamua kuchangia Damu kwa kuwa wameona jamii nyingi inayo wazunguka ina tatizo la damu kutokana na mambo mengi ya ajali zinazotokea barabarani na wanakuwa na mahitaji mengi yanayousu Damu 

alisisitiza kuwa Super D Boxing Promotion imejizatiti kuitumikia jamii kwa mambo mbalimbali ikiwemo kuchangia Damu pamoja na kujitolea kufanya kazi za kijamii

na ndio maana tumeamua kuja kujitolea Damu kwa mabondia wangu ambao na Idd Mkwela Vicent Mbilinyi Hussein Shemdowe na Bilali Ngonyani ambao wamejitolea kutoa Damu

nae Bondia machachali Iddi Mkwela aliongeza kwa kusema kuwa ameamua kujitolea Damu ni kwa sababu ameona watu wengi wana mahitaji ya kupatiwa na ukiangalia jamii inayotuzunguka nayo ina maitaji zaidi hivyo nashauli watanzania tuwe na moyo wa kujitolea Damu ili iwe akiba mana na wewe ukipungukiwa siku yake unachukuwa bila galama kwani Damu aiuzwi popote

ni uchangiaji wa hiali kujitolea wewe mimi na yule nawaomba wanamichezo wajitolee kuchangia kwani ni moja ya sadaka zetu hapa Duniani

uchangiaji huo wa Damu ulifanyika katika makutano ya mtaa wa Likoma na Agrey ambapo zaidi ya watu 140 walijitokeza kuchangia na kupatikana lita za kutosha tu kwenye kampeni hiyo

Monday, October 1, 2018

BONDIA SUNDAY KIWALE ANOLEWA NA KOCHA SUPER D KUZIPIGA CHINA OCTOBA 15

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcat' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 Picha na SUPER D BOXING NEWS


Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya Kunyooka 'Jab' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' kushoto wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Kelvin Majiba wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika kwa Super d Coach Uhuru GYM  Kiwale anajiandaa na mpambano wake wa kimataifa utakaofanyika Octoba 15 China Picha na SUPER D BOXING NEWS


Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akitupiana makonde na Sunday Kiwale ''Moro Best' wakati wa mazoezi yao yalyofanyika kwa Super D Coach Uhuru GYM Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octoba 15 China Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kusoto akimwelekeza bondia Sunday Kiwale 'Moro Best' jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upcat' Kiwale anajiandaa na mpambano wake utakaofanyika Octobar 15 Picha na SUPER D BOXING NEWS