Friday, May 28, 2010

MABINGWA WA MCHEZO WA POOL KWA VYUO VIKUU WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA TANZANIA TBL

Wakiangalia moja ya tanki la kujazia bia kiwandani humo leo

Wakipata maelekezo kutoka kwa mpishi wa kiwanda cha bia Bw.Justino Jekela


Wanafunzi wa vyuo vikuu vya CBE na chuo Kikuu cha Dar es sasaal UDSM wakipata maelekezo
Meneja wa bia ya Safar Leger Fimbo Butallah akizungumza na waandishi wa habari wakati wa zihara ya kutembelea kiwanda hicho kwa mabigwa vyuo vikuu wa mchezo wa pool tebo

No comments:

Post a Comment