Monday, May 24, 2010

MSONDO MUSIC KUTOA BURUDAN AFRI CENTER



WANAMZIKI WA BENDI YA MSONDO NGOMA WAKIZICHANA NYUZII BIN NYUZII WAKATI WA ONESHO LAO DAR ES SALAAM JANA KUSHOTO NI ZAHORO BANGWE NA HULUKA UVULUGE

WAPURIZA TRAMPET WA mSONDO NGOMA WAKIPIGA STORI KABLA YA KAZI



Wanamziki wa bendi ya Msondo music wakiwajibika wakati wa onesho lao lililofanyika Dar es salaam juzi kutoka kushoto ni Huluka Uvuluge Hamisi Kuyunga na Ibrahimu Kandaya.(Picha na Rajabu Mhamila
Kamanda hapa nilikuwa naburudika na msondo ngoma wakati wa wiki end mkubwa wa mkubwa sambamba na Saidi Mabera na Eddo sanga kulia si mchezo



Kabla ya kucheza tule kwanza mana tusiende kichakichwa tutaanguka ndivyo wanavyoambiana wanenguaji wa Msondo ngoma music band kushoto ni Nacho Mpendu na Amina Saidi kulia

No comments:

Post a Comment