Monday, May 24, 2010
SIKINDE WARIRIA UDHAMINI WA VODA COM
Kama kawa sichagui sibagui burudan hapa mwanzo mwisho hapo nipo kiwanja cha Sikinde kushoto ni Abdallah Hemba na kulia ni mkongwe Shabani Dede
Wanamziki wa bendi ya Ochersta Sikinde wakiwajibika wakati wa onesho lao Dar es salaam juzi kushoto ni John Ngosha na Stevin Maufi.(Picha na Rajabu Mhamila)
mpiga picha za matukio wa Sikinde Kasimu Makongoro akimwangaria mpiga Dramsi wa Sikinde wakati wa onesho lao jana
Bendi ya mziki wa dansi nchini ya Ochersta Sikinde imeenderea kulilia ufadhiri wa bendi yao kutoka katika makampuni mbalimbali mpaka kufikia atua ya kwenda kwa waziri mdogo anayeusika na michezo akizungumza na mwandishi wa blog hii jijini Dar es salaam hivi karibuni mmoja wa kiongozi wa bendi hiyo amedai kuwa tumepereka barua yetu katika kampuni ya voda ili itusaidie rakini wapi mana tumeenda kwa waziri ili atutafutie wadhamini kama wenzetu wa msondo ngoma rakini mpaka sasa kimya na kwa sasa tunaishi kwa mashaka mana tunapiga shoo moja tu
kwa wiki akuna chochote tunacho kipata yani wewe acha tu tangu tukabidhiwe vyombo mambo yamezidi kuwa magumumagumu afadhari tulivyokuwa mwazo ingawa tulikuwa tunataabika kinamna nyingine rakini ilikuwa afadhari arisema mmoja wa kiongozi wa bendi hiyo na kuaidi kuenderea kutoa burudan kokote akizungumza na www.burudan.blogspot.com amesema wapo tayali kupiga popote pale ilimradi tu wapate pesa ya kula alisema kamanda huyo anaye kwenda kwa jina la Jeff
No comments:
Post a Comment