Friday, May 21, 2010

TAIFA STARS YAANZA KAMBI KUIKABIRI RWANDA


Baadhi ya wachezaji wa timu ya Taifa 'Taifa Stars', wakifanya mazoezi katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam jana kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa marudiano wa kuwania kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani dhidi ya Rwanda ambao utapigwa nchini humo Juni mwaka huu

No comments:

Post a Comment