Friday, May 21, 2010

WAUGUZI UFARANSA WAGOMA


Wauguzi nchini Ufaransa wakiwa wamesimama katikati ya njia za treni ziendazo kasi karibu na kituo cha Montpamasse mjini Paris ili kuwaunga mkono wafanyakazi wanaodai nyongeza ya mishahara.(Picha na BBC)

No comments:

Post a Comment