LONDON, Uingereza
AMIR Khan ametishia kifo kutokana na mechi yake ijayo dhidi ya mpinzani wake Joel Casamayor.
Khan anajiandaa kutetea mkanda wake wa WBA uzani wa light-welter dhidi ya mpinzni wake kutoka Cuba katika uwanja wa O2 Arena mjini London Julai 31 mwaka huu
masamayor mwenye umri wa miaka 38, ni bingwa wa zamani wa super-feather na lightweight.
Alisema: "Ninakwenda kumtwanga kwa KO Amir Khan na kumuua."Nilikuwa bingwa wa dunia mara nne katikauzito tofauti na ninakwenda kuthibitisha kuwa hana lolote."
Meneja wake Luis DeCubas alisema: "Julai 31 ni tarehe ambayo tunapiga Amir.
Alisema kuwa fedha haikuwa kigezo kwao lakini sasa watafanya kazi ili kumshinda.
No comments:
Post a Comment