Saturday, June 5, 2010

BAISKELI YAOKOA JAHAZI BANGLDESH


Baadhi ya watu wazima moto na raia wakimkimbiza hospitalini kwa kutumia usafiri wa baiskeli majeruhi aliyenusurika kwenye ajali ya moto uliotokea juzi katika mji mkuu wa Bangladesh,Dhaka na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 100.(Picha na AP).

No comments:

Post a Comment