Kutoka kulia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Mh Jumane Maghembe,Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB,Bw. Charles Kimei,Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda,Mkurugenzi wa bodi ya CRDB Bw.Martin Mmali,Mkuu wa Mkoa wa Dar, Mh William Lukuvi pamoja na Mkurugenzi wa bodi ya UDA,Mh Idd Simba wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la dar es salaam kushughudia uzinduzi huo jana
Mgeni rasmi,Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa mabasi ya Wanafunzi,uliozinduliwa na benki ya CRDB katika viwanja vya Karimjee jijini Dar leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment