Tuesday, June 8, 2010

WADAU ZAIDI WANATAKIWA KATIKA KUWAOKOA WANZAFUNZI NA TABU YA USAFIRI


Asante Benki ya CRDB kwa kuzindua mradi wa mabasi ya Wanafunzi,naamini adha kama hii kwa baadhi ya Wanafunzi itapungua kama si kuisha kabisa,Ni vyema pia wakajitokeza Wadau wengine wakachangia kwa namna moja ama nyingine katika suala zima la kuwasaidia wanafunzi katika mkakati mzima wa kuwapunguzia/kuwaondolea adha hii kama uinavyo pichani.na www.michuzijr.blogspot.com

No comments:

Post a Comment