Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 1, 2010

MABIGWA WA KILL TAIFA CAP WATEMBELEA TBL


MABINGWA HAWO WAKICHUKUWA MSOSI


Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika foleni ya kwenda kupata mlo wa mchana ulioandaliwa na TBL kwa ajiri ya mabigwa wa Taifa CUP
mdau victor MKumbo akiwa pamoja na wachezaji wa Singida wakati wakitembelea kiwanda cha TBL Mdau huyo anatokea uko uko singida
MABIGWA WA KILL TAIFA CAP WATEMBELEA TBL

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...