Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, June 8, 2010

MBUNGE, MANNY PACQUIAO HAYAKUWA TUNZO YA BONDIA BORA WA MWAKA


Pacquiao Mpiganaji Bora wa mwaka
NEW YORK
BONDIA Manny Pacquiao amekuwa akishinda kitu fulani iwe kwa kupigana au kupata tuzo, kila anaposafiri kwenda Marekani.
Mwanamasumbwi huyo ambaye karibuni ametwaa kiti cha ubunge nchini kwake Philippines Ijumaa alipata tuzo yake ya Tatu ya Mpiganaji bora wa mwaka, huko kocha wake Freddie Roach kipata tuzo ya nne kutoka kwa Chama cha Waandishi wa Ngumi cha Marekani.
Usiku wa leo nimejawa fuaraha na heshima. NInashukuru kwamba, kama ilivyokuwa kwa Muhammad Ali na Joe Frazier na wanamasumbwi wengine, niliamua kuingia katika ngumi,
Pacquiao alisema.

Pacquiao alishindwa kwa kishindo katika uchaguzi wa wabunge, ikiwa ni mwaka mmoja baada ya kumtwanga kwa Ko Ricky Hatton na kutwaa mkanda wa welter, kisha alimtwanga katika raundi ya 12 Miguel Cotto na kutwaa welter na kufanya awe na rekodi ya kutwaa mikanda saba katika uzito tofauti
Pacquiao pia alipewa tuzo ya Mpiganaji Bora wa Mwongo (miaka 10).
Nilikuwa maskini kwa kumwamini Mungu na niliota kuwa mkubwa,
Pacquiao alisema.Nilishawishika kufanikiwa katika ngumi. Ulingo wa ngumu ungeweza kuwa sehemu ya kufanikisha ndoto zangu.

Akiwa pamoja na mkewe, Jinkee, apamoja na wanafamilia wake, Pacquiao watapakia New York kwa ajili ya kuona mechi ya ngumi ya uzani wa middle kati ya Cotto dhidi ya Yuri Foreman ya kuwania ubingwa jumamosi katika uwnaja wa Yankee.
Leo anatarajiwa kukutana na seneta wa Marekani Harry Reid mjini Washington, alisema wakala wake, Bob Arum.
Anatarajiwa kuingia katika Bunge la Philippines,Julai mwaka huu.

Wakati huo, Arum ataendelea kufanya kazi kuwezesha kuwepo kwa mechi ya miongo kati ya Pacquiao na bondia asiyepigika, Floyd Mayweather Jr.

Awali mabondia hao walikuwa watwangane mwanzoni mwa mwaka huu mwanzo ni mwa mwaka lakini makubaliano yalivunjika baada ya Mayweather kutaka mpinzani wake ampimwe Olimpiki katika mtindo wa olimpiki katika siku 24 kabla ya pambano.
Badala ya mechi hiyo, Pacquiao alitwangana na Joshua Clottey mbele ya mashabiki 51,000 katika uwanja wa Cowboys karibu na Dallas, huku Mayweather alipigana na MGM Grand mjini Las Vegas na kumshinda Shane Mosley.
Arum alikataa kuzugumzi kuhusu mazungumzo ya makubaliano ambapo kambi yake inapatana na Richard Schaefer wa kampuni ya Golden Boy , anayefanya kazi na Mayweather.

Lakini Arum mwenye umri wa miaka 78, alisema kuwa Pacquiao sasa amekuabalia kupimwa damu siku 14 kabl ya pambano kitu ambacho Mayweather alikubaliana nacho awali.

Arum pia alisema anaamini pambano hilo ambalo litafanyika Novemba, litaishia Las Vegas kuliko uwanja wa Cowboys mwingine un aoweza kuchukua watu 100,000.

Kitu cha muhimu kwa sasa ni pambano kuwepo, kwa sasa Manny Pacquiao yuko Las Vegas,
alisema Arum

Pande hizi zimekubalia kutotoa maelzo mengi kwa vyombo vya habari.
Wengine waliopata tuzo ni Ijumaa ni, Juan Manuel Marquez na Juan Diaz, (Tuzo ya Pambano Bora la Mwaka.}

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...