Thursday, June 10, 2010

ZAIN YAWAPATIA WASHINDI WA JIVUNIE SMS ZAWADI ZAO


Mshindi wa promosheni ya jivunie SMS Bw.Mashimbamashimba akimshukuru msimamizi wa Michezo ya Kubahatisha Bw. Bakari Maggid baada ya kukabiziwa kitita chake na Kampuni ya Zain leo
Meneja Masoko wa Kampuni ya ZAin Tanzania Bw.Costantine Magavilla wa pili kulia akimkabizi mshindi wa shindano hilo Bw. Mashimba Mashimba
Meneja Masoko wa Kampuni ya Zain Tanzania Bw.Costantine Magavilla kulia akimkabizi kitita cha laki tano kwa mshindi wa shindano la jivunie SMS bW.PHILP Masoda

No comments:

Post a Comment