Thursday, June 10, 2010

MAMA SALMA KIKWETE AKIWA USA


Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA. Mama Salma Kikwete akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ndugu Ombeni Sefue wakati wa kikao cha “Women Deliver” kilichokuwa kinazungumzia mbinu za kisasa za uzazi wa mpango tarehe 8.6.2010 huko Washington nchini Marekani.

No comments:

Post a Comment