Burudan Mwanzo - Mwisho

Friday, November 26, 2010

young-dee-kupigwa-tafu-na-wasanii-kibao.

Mkurugenzi wa Fish Crab Records Lamar jana amezungumza juu ya uzinduzi wa album ya kwanza ya Young D inayoitwa Young Rapper, lamar amesema uzinduzi huo utafanyika siku ya tarehe 8 mkesha wa kuamkia siku ya uhuru ndani ya Maisha Club kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi.

wasanii kibao watakuwepo
Lina
, Mwasiti, Barnaba, Amini, Maunda Zorro, Angie,Mataluma, Ditto, Sam wa ukweli, Sajna na Roma huku wakipewa sapot na Chege, Nakaaya, Jaffarai, Chidi Beenz, Geez Mabovu, Fid q na wengine kibao.
be there and be square
Super D (Mnyamwezi) at 8:14 AM

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version
Powered by Blogger.