Thursday, July 7, 2011

NAPE ATEMBELEA ITV/RADIO ONE NA HABARI CORPORATIONS LTD


Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akisalimiaka na Mkurugenzi wa Radio One, Deogratius Rweyunga baada ya kutambulishwa kwake na Mkurugenzi wa ITV/Radio One Joyce Mhaville leo

Nape akimsalimia Zembwela baada ya kuingia katika Studio ya East African Radio. Zembwela ambaye pia ni msanii maarufu wa fani ya ucheshi na maigizo sasa ni mtangazaji maarufu wa kituo hicho.
Rweyunga akimweleza Nape vitu vinavyorushwa ndani ya studio za radio one
Mhariri wa habari wa ITV, Steven Chuwa akiwa na Nape
Nape akikaribishwa na Mkurgenzi wa East African TV/Radio, Regina Mengi
Nape akishuhudia 'mapishi' ya vipindi vya EATV/Radio

Mtangazaji wa michezo wa Eatv/Radio Patrick Nyembera (wapili kushoto) akitaka kupata mawili matatu kuhusu sports kutoka kwa Nape alipoingia studio za vituo hivyo
Regina Mengi akimuonyesha Nape utendaji katika mitambo ya EATV/Radio











Ndani ya Chumba cha habari cha New Habari Corporatios Ltd, watu wakichapa kazi wakati Nape alipotembelea ofisi za kampuni hiyo
Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye akizungumza na viongoi wa New Habari Corporations Ltd, 6/72011, Kushoto ni Mkurugezi Mtendaji wa kampuni hiyo, Hussein Bashe

Mhariri wa Mttanzania, Manyerere Jackton (kushoto) akizungumza jambo na Nape mwishoni mwa ziara hiyo. kulia ni Mhariri Mtendaji wa kampuni hiyo Deodatus Balile
Nape akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa New Habari Corporations Lts baada ya ziara hiyo, NH ni wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, The African, Dimba na Rai

No comments:

Post a Comment