Saturday, March 10, 2012

ITHINK I HATE MY WIFE KUTOKA HIVI PUNDE


MSANII wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) yupo mbioni kutoafilamu yake mpya ya ITHINK I HATE MY WIFE itakayotoka wakati wowotekuanzia sasa akielezea filamu hiyo ambayo anaonekana akiwa na mmoja yawashiriki kama mchumba wake anaetarajia kuwa mkewe rakini ana kutanana mauzauza ya ajabu kwa mchumba huyo.Rado alisema filamu hiyo si ya kukosa kwani ina ujumbe maususi kwawatu wanaotarajia kuoa hivyo si yakukosa kabisa kwani watu na jamiinzima watajifunza vitu vingi kwa kuwa amekaa ametulia kuitengenezafilamu hiyo hitakayokuwa ikisambazwa na Kampuni ya Steps Entatainmentya jijini Dar es salaam.Ambapo inatarajia kutoka mdawowote ule kuanzia sasas.

No comments:

Post a Comment