Saturday, March 10, 2012

ndoa yangu ya kanumba kuingia sokoni mwisho wa mwezi


Na Mwandishi WetuMSANIINguli wa filamu nchini Stiven Kanumba yupo mbioni kukamilisha filamumpya itakayokwenda kwa jina la Ndoa Yangu akizungumzia filamu hiyoitakayokuja kubamba wapenzi wengi kwa kuwa ina mafundisho ya hali yajuu katika jamii hususani wanandoa.hivyo kuwataka wapenzi wake wa filamu kukaa mkao wa kula kwa kuwamwezi uliopita nilitatoa filamu yangu ya kwanza kwa mwaka huu yaKijiji cha Tambua Haki ambayo mpaka sasa inatamba katika soko mananimefanya uchunguzi kuwa wapenzi wangu wameifuraiha hivyo nakuja tenakivingine.Filamu hiyo itakayokuwa ikisambazwa na Kampuni ya Steps Entatainmentiya jijini Dar es salaam itakuwa moto wa kuotea mbali hivyo kaenitayali.

No comments:

Post a Comment