Sunday, April 22, 2012

MKUTANO WA TFF WAFANYIKA LEO JIJINI DAR ES SALAAM



Rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Leodegar Tenga, akitoa hotuba kwenye mkutano mkuu wa (TFF) wa wajumbe kutoka mikoa yote ya nchini ulioanza leo katika ukumbi wa NSSF WATER FRONTR jijini Dar es salaam mkutano huo ni wasiku mbili Bw.Leodegar Tenga amewataka wajumbe kuheshimu kanuni za soka.
Juliana Mtagi Yasoda Naibu Mkurugenzi wa michezo Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo akitoa msisitizo wakati alipotoa mada katika mkutano huo.
Mjumbe wa kudumu CAF mhe Said El Maamri akitoa msisitizo katika mkutano huo.
Mwenyekiti mstaafu wa FAT Muhidini Ndolanga akisisitiza jambo katika mkutano huo leo.
Wajumbe walioudhuria wakiwa katika mkutano huo.
Mwenyekiti wa Simba, Aden Rage (kushoto) akiwa pamoja na wajumbe wengine wakisikiliza kwa mamkini katika mkutano huo.
Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Bw.Leodegar Tenga watano kutoka  (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano.

No comments:

Post a Comment