Wednesday, April 25, 2012

NAIBU WAZIRI WA SAYANSI NA MAWASILIANO AFUNGUA MKUTANO WA MAWASILIANO NCHI ZA (SADC)


 Naibu Waziri wa Sayansi na  Mawasiliano Charles Kitwanga akifungua mkutano wa mwaka wa 32 wa Umoja wa Taasisi za Mawasiliano KUsini mwa Afrika unaofanyika kwa siku mbiliunaojadili mambo mbalimbali katika mawasiliano ya simu ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kidigitali, mkutano huo unahudhuriwa na wajumbe kutoka nchi 14 za (SADC) Zimbabwe, Namibia, Botswana, Malawi Msumbiji, Afrika Kusini Rethoto na Tanzania

 Naibu Waziri wa Sayansi na  Mawasiliano Charles Kitwanga akihojiwa na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua rasmi mkutano huo.
 Naibu Waziri wa Sayansi na  Mawasiliano Charles Kitwanga katika picha ya pamoja na wajumbe wa mkutano huo.
 Mkurugenzi mtendaji wa TTCL Said Amir Said akimkaribisha Naibu Waziri wa |Sayansi na Mawasiliano Charles Kitwanga ili kufungua mkutano huo.
 wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SADC wakiwa katika mkutano huo.
 wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SADC wakiwa katika mkutano huo.
 wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SAADC wakiwa katika mkutano huo.
 wajumbe mbalimbali kutoka nchi za SAADC wakiwa katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment