Rais
Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
wakitia saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika ulinzi wa
nchi hizo leo Aprili 28, 2012 katika hoteli ya Ngordoto jijini Arusha.
Rais
Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
wakionesha hati baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano ya
ushirikiano katika ulinzi wa nchi hizo leo Aprili 28, 2012 katika hoteli
ya Ngordoto jijini Arusha.
Rais
Jakaya Kikwete na viongozi wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
wakikaribishwa chakula cha mchana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki Dk. Richard Sezibera baada ya picha ya pamoja kufuatia kutia
saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika ulinzi wa nchi hizo
leo Aprili 28, 2012 katika hoteli ya Ngordoto jijini Arusha
No comments:
Post a Comment