Sunday, April 22, 2012

Safari Lager yaendesha Semina ya mafunzo ya Ujasiliamali jijini Dar





Mkufunzi wa mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lager, Masudi Kandoro (kushoto) akifafanua jambo wakati wa semina ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali inayoendelea katika Hoteli ya Johanasbarg Sinza jijini Dar es Salaam.
Mkufunzi wa mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lager, Rahel Emanuel(kulia) akifafanua jambo wakati wa semina  ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali inayoendelea katika Hoteli ya  Johanasbarg  Sinza jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lager, Kelvin Muganyizi akifafanua jambo kutoka kwenye picha wakati wa semina  ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali inayoendelea katika Hoteli ya Johanasbarg Sinza jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wa semina ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali wakisikiliza mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji yanayoendeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lagerwakati wa semina inayoendelea katika Hoteli ya Johanasburg Sinza jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa wa wa semina ya mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji kutoka mikoa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja wakati mafunzo ya Ujasiliamali ya uwezeshaji yanayoendeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia ya Safatri Lagerwakati wa semina inayoendelea katika Hoteli ya  Johanasbarg  Sinza jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment