Wakameruni wapatao zaidi ya 5,000 waishio nchini ujerumani wanatalajia
kujimwaga na muziki wa dansi wa Ngoma Africa Band huko mjini
Stuttgart,Ujerumani siku ya jumamosi
20 Mai 2012,katika sherehe maalumu kwa ajili ya nchi yao "Cameroni Challenge" .
Kamati ya maandalizi ya jumuia ya wakameruni nchini Ujerumani imetoa mwaliko kwa
bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya Ngoma Africa band almaarufu FFU,kutumbuiza
katika sherehe hizo zitakazo fanyika mjini Stuttgart,nchini Ujerumani,ambako zitahudhuriwa na
wakameruni 5000 pamoja na wageni wa mataifa mbali mbali.
Mzimu huo wa dansi Ngoma Africa band aka FFU unatarajiwa kutoa burudani ya kuwapandisha
mzuka wadau wote watakao jimwaga uwanjani,
Ngoma Africa band sasa wanatamba na mpini wao mpya " Uhuru wa Habari" sikiliza hapa www.ngoma-africa.com au http://www.ngoma-africa.com

No comments:
Post a Comment