Wafanyakazi
wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, wakitoa heshima za mwisho kwa
aliyekuwa mfanyakazi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI),
marehemu Upendo Mdegela akitoa heshima za mwisho katika Hospitali ya
Muhimbili kabla ya mazishi yaliyofanyika makaburi ya Kinondoni, Dar es
Salaam juzi. Upendo alikufa baada ya kunaswa na umeme alipokuwa
akifanya usafi nyumbani kwake Mwananyamala Kisiwani. (PICHA NA KHAMIS
MUSSA)
No comments:
Post a Comment