Mchana huu wajanja wa mjini wanapata menyu safi katika mgahawa wa City
Sports Lounge uliopo jengo la kazi eneo la chini ulipokuwa ubalozi wa
Uingereza zamani je?, wewe unapata wapi menyu yako ya mchana huu, hebu
jongea City Sports Lounge ujionee na kupata msosi bomba wa mchana
lakini pia kwa mpira na burudani ya muziki ndiyo penyewe kwani kuna
luninga saba katika kila eneo la mgahawa huo na kukupa burudani kwa
kila mkao utakaokaa.
Hii ndiyo Mandhali ya City Sports Lounge mchana huu kama inavyoonekana watu wakijipatia menyu yao ya mchana.
No comments:
Post a Comment