Wednesday, June 6, 2012



TaarifakwaVyombovyaHabari

Tigoyazindua ‘Tigo Internet Mega Boksi‘
6 Juni, 2012, Dar es Salaam.Matumiziyamtandaoyamebadiliduniaambayotunaishinanakubadilijinsiyakupatataarifa. Kama kampuniinayojaliwatumiaji wake, Tigoilianzishahudumanabidhaazamtandaomwaka 2011 naimeendeleakuzingatiamahitajiyawateja wake. Kwakuzingatiahilo, Tigoimeanzishahudumampyayamtandaoijulikanayokama: ‘Tigo Internet Mega Boksi,’ kusaidiawatejakuwakaribunahabarizaulimwengukatikaulimwenguhuuwenyeteknolojiainayokuwasikuhadisiku.

Vifurushihivivipyavyamtandaovitawawezeshawatejakununuavifurushivinavyoendananamahitajiyao. Mtejaanawezakununuakifurushi cha siku, wiki aumwezi, pamojanakufanyauchaguziunaoendananamatumiziyahudumambalimbalizakimtandaoanayoyata. Vifurushivyotevinajumuishamatumiziyabaruapepe, Facebook, Twitter nakuperuzikwenyemtandaobure. Vifurushivyotenivyakasiisiyonaukomo.

“Tumesikilizamahitajiyawatejawetunakutathminimahitajiyao. Tumewaleteavifurushihivirahisiilikuwezeshahudumazinazotumiwanawatejawengikuwaburenazisizonakikomo” alisema Alice Maro, AfisaUhusianowaTigo.

JinsiyaKujiunga:

Kwakupiga *148*01#  watejawatapatafursayakuchaguamudawavifurushiwanavyohitaji, inawezakuwakwasiku, wiki au mwezikutegemeananamatumiziyao. Watumiajiwa modem zaTigowanawezakununuavifurushihivikwakutumiaprogramumbalimbalizinazopatikanakwenye modem zaTigo. Beizinaanziash. 450 kwakifurushi cha siku.

Kuhusu Tigo:

Tigo ni mtandaowa simuzamkononi wa kwanza Tanzania, ulianzabiasharamwaka 1994 na ni mtandaowasimu Tanzania wenyeubunifuwahaliyajuunabeinafuukupitazotenchiniunaotoahudumakatikamikoa 26, Tanzania Bara na Zanzibar. 

Tigo ni sehemuya Millicom International Cellular S.A (MIC) na hutoa hudumazasimuzamkononikwagharamanafuunainayopatikanamaeneomengikiurahisikwa watejazaidiya milioni 43 katika masoko 13 yanaoibukaAfrika na AmerikayaKusini.

Kwataarifazaidi tembeleawww.tigo.co.tz

No comments:

Post a Comment