TaarifakwaVyombovyaHabari
Tigoyazindua
‘Tigo Internet Mega Boksi‘
6 Juni, 2012, Dar es Salaam.Matumiziyamtandaoyamebadiliduniaambayotunaishinanakubadilijinsiyakupatataarifa.
Kama kampuniinayojaliwatumiaji wake, Tigoilianzishahudumanabidhaazamtandaomwaka
2011 naimeendeleakuzingatiamahitajiyawateja wake. Kwakuzingatiahilo,
Tigoimeanzishahudumampyayamtandaoijulikanayokama: ‘Tigo Internet Mega Boksi,’
kusaidiawatejakuwakaribunahabarizaulimwengukatikaulimwenguhuuwenyeteknolojiainayokuwasikuhadisiku.
Vifurushihivivipyavyamtandaovitawawezeshawatejakununuavifurushivinavyoendananamahitajiyao.
Mtejaanawezakununuakifurushi cha siku, wiki aumwezi, pamojanakufanyauchaguziunaoendananamatumiziyahudumambalimbalizakimtandaoanayoyata.
Vifurushivyotevinajumuishamatumiziyabaruapepe, Facebook, Twitter nakuperuzikwenyemtandaobure.
Vifurushivyotenivyakasiisiyonaukomo.
“Tumesikilizamahitajiyawatejawetunakutathminimahitajiyao.
Tumewaleteavifurushihivirahisiilikuwezeshahudumazinazotumiwanawatejawengikuwaburenazisizonakikomo”
alisema Alice Maro, AfisaUhusianowaTigo.
JinsiyaKujiunga:
Kwakupiga *148*01#
watejawatapatafursayakuchaguamudawavifurushiwanavyohitaji,
inawezakuwakwasiku, wiki au mwezikutegemeananamatumiziyao. Watumiajiwa modem
zaTigowanawezakununuavifurushihivikwakutumiaprogramumbalimbalizinazopatikanakwenye
modem zaTigo. Beizinaanziash. 450 kwakifurushi cha siku.
Kuhusu Tigo:
Tigo ni mtandaowa simuzamkononi wa
kwanza Tanzania,
ulianzabiasharamwaka 1994 na ni mtandaowasimu Tanzania
wenyeubunifuwahaliyajuunabeinafuukupitazotenchiniunaotoahudumakatikamikoa 26,
Tanzania Bara na Zanzibar.
Tigo ni sehemuya Millicom
International Cellular S.A
(MIC) na hutoa hudumazasimuzamkononikwagharamanafuunainayopatikanamaeneomengikiurahisikwa watejazaidiya milioni
43 katika masoko 13 yanaoibukaAfrika na AmerikayaKusini.
No comments:
Post a Comment