Hitima
Yanga imekwishasomwa, iliongozwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Alhad Mussa Salum. Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Wakili Imani
Omar Madega, Mgombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti katika uchaguzi wa
Julai 15, Clement Sanga walikuwapo. Sasa watu wanakula, BIN ZUBEIRY
anaondoka eneo la tukio.
|
Waungwana baada ya kisomo wakisubiri sadaka |
|
Sheikh
Mussa kulia, kushoto ni Katibu wake Almasi lailly Mussa na nyuma yao
ni mwanachama wa Yanga, Mustafa Mohamed, Katibu wa Tawi la Kurasini |
|
Madega kulia, akiwa na Sanga kushoto kwake |
|
Waungwana wakisubiri sadaka baada ya dua |
|
Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa kulia, Madega na Sanga |
|
Sheikh Mussa katikati, kulia Juma Mnonji mwanachama wa Simba, na kushoto Katibu wake, Almasi |
|
Waungwana baada ya dua wakisubiri sadaka |
Maandalizi
ya hitima katika klabu ya Yanga, makao makuu wa klabu, makutano ya
mitaa ya twiga na Jangwani yanaendelea muda huu. Mboga zinakaribia
kuiva, mchele umekwishaanza kuoshwa. Ng’ombe wawili wako jikoni. Ibada
ya hitima yenyewe inakaribia kuanza kusomwa. Picha zote kwa msaada wa
Blog ya BIN ZUBEIRY
|
Akina mama wakichambua mchele |
No comments:
Post a Comment