Mkurugenzi Mtendaji wa (PPRA) Dr. Ramadhan Mlinga
akiongea na waandishi wa habari leo ofisini kwake jijini Dar es salaam
juu ya kufungiwa kwa makampuni 34 kutoshiriki kwenye zabuni za Taasisi kwa
kipindi cha mwaka mmoja kuanzia leo, baada ya kushindwa kutekeleza
mikataba yao na Tasisi husika na hivyo kusimamishwa kutekeleza mikataba
hiyo.
Mwandishi wa habari wa Times Fm Bw. Adam Hussein(kulia) akimuuliza swali Mkurugenzi Mtendaji wa (PPRA)Dr. Ramadhan Mlinga katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment