Tuesday, June 26, 2012

SEMINA YA KUIMARISHA UHUSIANO BAINA YA WANASIASANA WATENDAJI KTK SERIKALI ZA MITAA ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji Makame,alipowasili
katika viwanja vya Zanzibar Beach Resort,alipohudhuria katika semina
ya siku mbili ya kuimarisha Uhusiano baina ya Wanasiasa na Watendaji
wa Serikali za Mitaa Zanzibar,akiwa Mwenyekiti wa Semina hiyo
iliyoanza Leo. [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali
Mohamed Shein,akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maalim Seif Sharif Hamad,alipowasili katika viwanja vya Zanzibar Beach
Resort,alipohudhuria katika semina ya siku mbili ya Uongozi ya
Viongozi  wa Serikali za Mitaa Zanzibar,akiwa ni Mwenyekiti wa Semina
hiyo iliyoanza Leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua semina ya siku
mbili kuhusu kuimarisha Uhusiano Baina ya Wanasiasa na Watendaji
katika Serikali za Mitaa Zanzibar,katika ukumbi wa Zanzibar Beach
Resort,nje ya Mji wa Unguja leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Baadhi ya Madiwani na Masheha wa Shehia mbali mbali za
Unguja,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba ya ufunguzi wa
semina ya siku mbili juu ya Kuimarisha Uhusiano baina ya Wanasiasa na
Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyoanza leo, katika
Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,Nje ya Mji wa Unguja.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Sheha wa Shehia ya Ubago,Wilaya ya Kati Unguja,Mkoa wa
Kusini Unguja,Bibi Asha Abeid Suba,akichagia suala la Maji wakati wa
Semina ya siku mbili,juu ya Kuimarisha Uhusino baina ya Wanasiasa na
Watendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,iliyoanza leo katika
Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,nje ya Mji wa Unguja.
                     [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment