Tuesday, June 26, 2012

Kanisa la Safina Victory waadhimisha miaka 10 ya kanisa hilo


 Waumini wa kanisa la Safina Victory lilopo Unga Limited  jijini Arusha wakiwa wana furaia maazimisho ya miaka 10 ya kanisa hilo nchini ambalo limejikita zaidi kusaidia jamii wakiwemo watoto yatima na shule
ya watoto wadogo Picha na Gladness
Mushi wa Fullshangwe-Arusha
Wadau wa kanisa hilo akiwemo Askofu Yona Pendael
wakiwa katika picha ya pamoja mapema leo jijini hapa

No comments:

Post a Comment