Tuesday, July 24, 2012

MAKAMU WA RIAS DKT. BILAL AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA ALIYEMALIZA MUDA WAKE- ASHA-ROSE MIGILO, IKULU DAR ES SALAAM LEO


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake, Asha-Rosre Migiro, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo kwa ajili ya kushukuru baada ya kumaliza muda wake wa kazi katika Shirika hilo la Kimataifa UN.

No comments:

Post a Comment