Wednesday, July 11, 2012

Mkuu wa wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro Anthony Mtaka akagua miradi ya Kilimo


  Mkuu wa wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro Anthony Mtaka kulia akimsikiliza Mtafiti Kiongozi wa kituo cha Utafiti cha Chollima Reseach Centre cha Dakawa Mvomero, George Iranga kushoto wakati akimpatia maelezo juu ya mradi wa kilimo kwanza katika shamba la wanakikundi wa Jaribu kijiji cha Msufini kata ya Hembeti wilayani humo mkoani hapa. (Picha na Mtanda Blog).
Mkuu wa wilaya ya Mvomero mkoa wa Morogoro, Anthony Mtaka kushoto akimsikiliza mkulima wa kikunndi wa Jaribu katika kijiji cha Msufini kata ya Hembeti, Zuhura Mganza juu ya kilimo cha mahindi wakati mkuu huyo akipotembelea shamba la mahindi la kikundi hicho wakati wa mradi wa kilimo kwanza unaotekelezwa na serikali kupitia taasisi ya sayansi na teknolojia (Costech) ikishirikiana na kituo cha utafiti cha Chollima Reseach Centrea Dakawa kutafiti mbegu bora za mahindi zenye kuvumilia ukame mkoani hapa

No comments:

Post a Comment