Meneja
Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akifafanua jambo wakati wa
kuwatafuta washindi wa droo ya Jenga Maisha Yako na NMB iliyofanyika leo
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mineja Bidhaa wa Selcom Wireless, Julio
Batalia na Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Sadiki Elimsu.
Meneja
Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akifafanua jambo wakati wa
kuwatafuta washindi wa droo ya Jenga Maisha Yako na NMB iliyofanyika leo
jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mineja Bidhaa wa Selcom Wireless, Julio
Batalia
Meneja
Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akibonyeza kitufe kuwatafuta
washindi wa droo ya Jenga Maisha Yako na NMB iliyofanyika leo jijini Dar
es Salaam. Katikati ni Mkaguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha,
sadiki Elimsu na Meneja Bidhaa wa Selcom Wireless, Julio Batalia.
DAR ES SALAAM, Tanzania
Baada
ya ubinafsishaji wa benki ya NMB mwaka 2005, NMB iliendelea kukuza
mtandao wake wamatawi, ndani ya miaka mitano matawi yameongezeka kutoka
100 hadi matawi zaidi ya 140. Idadi ya watejawa NMB imekua kutoka wateja
600,000 mpaka wateja1,600,000 hiyo ni asilimia 30 au 40 ya watanzania
wote ambao wana akaunti katika benki zote za Tanzania ili kurahisisha na
kuboresha utoaji huduma. NMB ilianza kutoa huduma ya ATM
kutoka wateja 0 mpaka wateja milioni moja na laki sita na pia namba za
mashine za kutolea fedha (ATM) zimekuwa kutoka 0 mpaka 450 na pia NMB
ndio benki ya kwanza Tanzania kuanzisha huduma za kibenki kwa kutumia
simu ya mkononi, NMB Mobile. Hadi sasa kuna wateja 600,000 wanaotumia
huduma ya NMB Mobile
NMB
imeendelea kubuni na kuanzisha bidhaa mbalimbali kwa ajili ya wateja
wake. NMB ndio benki pekee Tanzania yenye akaunti kuanzia za watoto
wadogo, wanafunzi, wafanyakazi, wakulima na wastaafu. Pia NMB imeendelea
kuboresha faida wateja wanazozipata kutokana na kuwa na akaunti NMB.
Hivi sasa mteja wa NMB ana chaguo pana la njia za kupata huduma anaweza
kupata huduma ndani ya benki, kutumia ATM, kutumia NMB mobile au huduma
ya Intaneti.
NMB
ni benki inayowajali sana wateja wake hata wakati washida, mwaka jana,
2011 NMB ilizindua huduma ya NMB Faraja inayomwezesha mteja wa NMB
Personal Account kupata mkono wa pole kati ya shilingi 600,000 hadi
1,200,000. Hadi sasa, huduma ya NMB Faraja imewanufaisha wateja wengi wa
NMB, nchi nzima.
JENGA MAISHA YAKO NA NMB
Utafiti
uliofanywa na NMB uligundua kuwa wateja wengi wanaweka akiba ili
kutimiza malengo mbalimbali waliyojiwekea. Miongoni mwa malengo hayo ni
kujenga nyumba, kusomesha watoto na kufikia malengo mengi na muhimu
maishani mwao. NMB ikiwa ni benki yenye kujali malengo ya wateja wake,
inaanzisha promosheni inayowezesha wateja wote wa NMB Bonus Account na NMB Junior Account kuingia kwenye droo ya kushindania tani ya saruji, mabati ya kuwezekea, amana maradufu, ada za shule, fulana za NMB au mabegi ya shule kupitia promosheni ya JENGA MAISHA YAKO NA NMB. Promosheni ya JENGA MAISHA YAKO NA NMB itachezeshwa kila mwisho wa mwezi kwa kipindi cha miezi mitatu.
NMB
inaamini promosheni hii sio tu kwamba itaongeza tabia ya kujiwekea
akiba lakini pia itasaidia wateja watakaoshinda kufikia malengo
waliyojiwekea na pia kuboresha maisha yao. Wateja wote watakaofungua
akaunti au kuongeza amana kwenye NMB Bonus Account au NMB Junior Account
watapata riba ya kuvutia ambayo inaweza kuwa hadi asilimia 10 kutegemeana na kiwango cha amana zilizowekwa.
Zawadi zinazoshindaniwa kwenye droo ya leo
Namba ya washindi
| |
Tani ya saruji (simenti)
|
8
|
Mabati
|
3
|
Double your account
|
3
|
Mabegi ya shule
|
100
|
Ada zashule
|
3
|
Tishetiza NMB
|
150
|
Kuhusu NMB Bonus Account na NMB Junior Account
NMB
Bonus Account niakauntimahususi ya amanakwaajili ya
kufikiamalengombalimbali. NMB Bonus Account
inaribakubwaunayopatakilarobomwaka.Akauntihiiinakuwezeshakutunzaamanakwausalamanabilagharama
Faidaza NMB Bonus Account
· Hakunagharama ya kuendeshaakauntihii
· Huduma ya NMB Bonus Account inapatikanakwamatawizaidi ya 140 nchinzima
· Unapataribakilarobomwaka, piariba ya ziada*
· Hakunagharamazakuhamishafedhakutoka
NMB Personal Account kwenda NMB Bonus Account au kutoka NMB Bonus
Account kwendaNMB Personal Account
NMB
Junior Account niakuntiinayofunguliwanamzazi/mlezikwaniaba ya mtoto.
Lengo la akauntihiinikumsaidiamzazi/mlezikuwekaakibakwaajili ya matumizi
ya baadaye ya kumjengeamtotomsingiwakuwekaakiba
Faidaza NMB Junior Account
· Kiwangokizuri cha ribapamojanariba ya ziada
· Hainagharama ya uendeshaji
· Kumjengeamtototabia ya kuwekaakiba
· Mtotoakifikishamiaka 18 akauntihiyoitaitwa NMB Bonus Account naataiendeshamwenyewekwafaida
· Mzazianaruhusiwakutoafedhamarambilikwamwakabilakupotezariba ya ziada
*Mashariti ya uendeshajikuzingatiwa
No comments:
Post a Comment