-Mwenyekiti
wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) akipata
maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Ofisi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Pilly Mpenda (kushoto) juu ya
faida za kujiunga na mfuko huo wakati kiongozi huyo alipotembelea
maonyesho ya 36 ya kimataifa ya Dar es alaam jana katika Viwanja vya
Mwalimu J.K. Nyerere. Katikati ni Afisa wa NSSF anahusika na mambo ya Itifiki Juma Kintu.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF)
Profesa Ibrahim Lipumba(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mauzo
na Masoko David Manyanga(kulia) juu ya faida ambazo mkulima anaweza
kuzipata baada ya kununua mashine ya kupanda mpunga aina ya SPW 48C
wakati kiongozi huyo alipotembelea maonyesho ya 36 ya kimataifa ya Dar
es alaam jana katika Viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba(kulia) akipata
maelezo kutoka kwa Afisa wa Fao la Matibabu wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF) Aisha Marine (kushoto) jinsi wanachama wa
mfuko huo wanavyonufaika na huduma hiyo wakati kiongozi huyo
alipotembelea
maonyesho ya 36 ya kimataifa ya Dar es alaam jana katika Viwanja vya
Mwalimu J.K. Nyerere. Katikati ni Afisa wa NSSF anahusika na mambo ya
Itifiki Juma Kintu.
Picha na Tiganya Vincent - MAELEZO- Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment