![]() |
| Viwanja namna vilivyo pendeza kwa kuwekewa nakshi za ubunifu wa uhakika. |
![]() |
| Kikosi Cha Tanzania ambacho kina wanamichezo saba wakiongozwa na walimu wao kikipita mbele ya kadamnasi waliohudhuria uzinduzi huo. |
| Kwa juu akiangalia Kiwanja hicho utaona namna hii. |
| Ukiangalia kwa nnje utaona hivi mvuto wake. |


No comments:
Post a Comment