Saturday, July 28, 2012

SHUHUDIA UZINDUZI WA OLIMPIC ULIVYO FANA JANA NCHINI UINGEREZA. Maandalizi yasifiwa yalikua mazuri wadau wa michezo wapongeza. Wajitahidi kuonyesha uhalisia wa utamaduni wao.


Viwanja namna vilivyo pendeza kwa kuwekewa nakshi za ubunifu wa uhakika.
Kikosi Cha Tanzania ambacho kina wanamichezo saba wakiongozwa na walimu wao kikipita mbele ya kadamnasi waliohudhuria uzinduzi huo.
Kwa juu akiangalia Kiwanja hicho utaona namna hii.
Ukiangalia kwa nnje utaona hivi mvuto wake.

No comments:

Post a Comment