Monday, July 30, 2012

RAIS KIKWETE AHUDHURIA MAZISHI YA SHEMEJI YAKE MJINI LINDI LEO


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala maalum ya kuswalia  mwili wa marehemu shemeji yake, Marehemu Amani Kinyozi (45),  aliyefariki Jumamosi iliyopita jijini Dar es salaam, na kuzikwa katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi leo.
Rais Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya shemeji yake, Marehemu Amani Kinyozi, katika makaburi ya Mitandi mjini Lindi leo. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment