Thursday, July 26, 2012

SPIKA ANNE MAKINDA ASHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE MJINI DODOMA


 Spika wa Bunge Anne Makinda akikata keki tayari katika birthday yake jana mjini Dodoma.
Bi Lina Kitosi akimlisha Mhe. Spika keki kwa niaba ya wafanyakazi wa Bunge wakati wa Birthday yake ya 63 iliyofanyika jana mjini Dodoma.
Ni Birthday ya 63 ya Mhe. Spika Anne Makinda na hii ilikuwa keki ya Birthday.
 Spika Anne Makinda akipokea keki kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Bunge.
Picha kwa hisani ya http://www.fullshangweblog.com/ 

No comments:

Post a Comment