Thursday, August 16, 2012

BENKI YA POSTA YASHIRIKI KATIKA FUTARI NA WATEJA WAKE


 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi  akiwakaribisha wateja wa benki hiyo kwenye hafla ya Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi  akiongea na wateja wa benki hiyo waliofika kwenye hafla ya Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika kwenyehoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment