Thursday, August 16, 2012

TUKIO LINGINE LA KIHITORIA KWA WATANZANIA WOTE WAPENDA MAENDELEO WAISHIO MAREKANI.



Tunapenda kutoa habari hizi kwa wa Tanzania wote na wapenda maendeleo, Siku ya Jumamosi Aug 25 kutakuwa na ufunguzi rasmi wa tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Houston Texas nchini Marekani

Wageni rasmi wa ufunguzi wa tawi hilo ni Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Joseph Mbilinyi (Mr. 2/ Sugu)

Sherehe za ufunguzi wa tawi hilo zitaanza mida ya saa 5:PM

No comments:

Post a Comment